Natafuta frame ya biashara ya uwakala, Dar es Salaam maeneo ya Kawe, Buguruni, Karume

70k kushuka chini, Mbangala ipo ya bei Gani na IPO center,? Km changanyikeni sana budget nitaongeza pia
 
Hii biashara ni nzuri ukianza na mtaji mdogo, halafu kadiri unavyopata uzoefu na mbinu za kuiendesha na hasa namna ya kupambana na matapeli, wezi na vibaka; ndiyo unaongeza sasa mzigo mwingine.

Kwa hiyo hata ukiwa na milioni moja, au hata pungufu ya hiyo! Bado unaweza ukaanza na miamala ya simu, halafu baadaye ukaongeza milioni zako chache tena ukaanzisha huduma za kibenki.
 
Asante mkuu, kwahiyo hiyo inatosha mitandao yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…