Shukrani...Mtafute hungu au imma hapo moshi mjini wanauza sana mafriji used Aina zote
Namba zao nmezpoteza Ila najua wanajulikana sana kwa biashara hyo
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Wako opposite na msikiti hpo mjiniShukrani...
Wanapatikana mitaa gani...yaani I mean kuanzia hapa Mawenzi primary opposite na stand???
Wako opposite na msikiti hpo mjini
Namba ya Sim Sina kwa Sasa
Ila ukiwaulizia huwakosi
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
We jiongez utawapata tuAsante
Nadhani Ni msikiti wa Riadha pale....nitapita hapo.