Natafuta frem/duka kwa ajili ya kuuza vifaa vya ujenzi-hardware

CONSULT

Senior Member
Joined
May 8, 2011
Posts
194
Reaction score
204
Tafadhali wana JF naomba msaada wenu kupata nafasi kwa ajili ya biashara ya hardware hasa maeneo yanayoeleweka kwa biashara hiyo DAR kama Gerezani, Kariakoo na nje kdg Mbagala, mbezi, n.k kwa kuuza cement,nondo,bati,sealing board,Hardboard,bomba, steel sheet n.k Tuma ushauri_ubunifu@operamail.com
 
Jaribu pia maeneo ya Kigamboni, naona mji unatanuka kwa kasi.
 
Tunaye member humu anaitwa Kitomai - 0784 225000 atakusaidia
 
Back
Top Bottom