Natafuta frem za biashara msaada wenu jamani!

Natafuta frem za biashara msaada wenu jamani!

Mbaliche

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2011
Posts
294
Reaction score
61
ndg zangu Jf naomba msaada wenu, nipate frem maeneo ya fuatayo, magomeni,mwananyamala,mansese, sinza,mssni, kawe,bugruni. Zinazo faa kwa biashara ya mchele na maharage. Sim 0768092950

Labda ungepeleka ombi lako kwenye 'Business and economy forum' ili uweze kupata msaada. Hii forum ni kwa ajili ya mahusiano.

Nenda Kinondoni Manyanya pale kituo cha daladala ukiwa unatokea magomeni, ukifika pale ulizia Ofisi za Madalali kama utakuwa na pesa siku hiyo hiyo utapata frem

Nenda Kinondoni Manyanya pale kituo cha daladala ukiwa unatokea magomeni, ukifika pale ulizia Ofisi za Madalali kama utakuwa na pesa siku hiyo hiyo utapata frem

mkuu na shukuru sana nime fanikiwa mungu akubariki.

mkuu na shukuru sana nime fanikiwa mungu akubariki.

MKUU UMEOMBA SAA 1130 UMESHAIPATA SAA 14:30 WE KIBOKO

Back
Top Bottom