Habari wana jamvi. Nahitaji ofisi kama kichwa kinavyojitaja hapo. Nahitaji maeneo ya Sinza, Kinondoni, Kijitonyama au Mwenge. Angalau sq mita 30 isiwe barabarani iwe ndani kidogo. Tafadhali kwa mwenye taarifa au kufahamu eneo naomba tupeane taarifa. Gharama isizidi laki 2 kwa mwezi. Nawasilisha!