Political Engineer2
Senior Member
- Feb 23, 2018
- 149
- 117
Sawa boss ngoja nichangamkeNenda fire....kwenye mataa pale unakunja kama unaelekea msimbazzi,upande wa yard ya magari,we ulizia mafundi Ac kna mzee mmja anaitwa sengelimo....yuko vzuri!
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu hapa mjini mafudi wa Ac za magari ni wababaishaji,ukipeleka hakatai ila anajaza gas basi kesho yake tatizo linajirudia.
Naomba kujua nani BINGWA wa AC za magari hapa jijini Dar hata kama being yake iko juu ilimradi anipe Warrant baada ya kuitengeneza.
Tafadhali nawakilisha
Sent using Jamii Forums mobile app