Natafuta fundi kupaua/ Fundi paa Mwanza

Natafuta fundi kupaua/ Fundi paa Mwanza

Joined
Sep 24, 2014
Posts
54
Reaction score
34
Wadau kwa yoyote anayeweza kunipa mawasiliano ya fundi mzuri wa kupaua anayepatikana Mwanza naomba namba tafadhali
 
Yupo mmoja Dodoma, kila sehemu anafika, na anatoa kitu cha uhakika.
 
Ngoja tukutafutie jamaa mmoja anaitwa kinasa Msukuma atakufaa sana
 
Back
Top Bottom