K kennedy joshua Member Joined Sep 24, 2014 Posts 54 Reaction score 34 Jan 30, 2023 #1 Wadau kwa yoyote anayeweza kunipa mawasiliano ya fundi mzuri wa kupaua anayepatikana Mwanza naomba namba tafadhali
Wadau kwa yoyote anayeweza kunipa mawasiliano ya fundi mzuri wa kupaua anayepatikana Mwanza naomba namba tafadhali
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 33,679 Reaction score 49,841 Jan 30, 2023 #2 Yupo mmoja Dodoma, kila sehemu anafika, na anatoa kitu cha uhakika.
Mnyiramba JF-Expert Member Joined Jun 19, 2022 Posts 1,141 Reaction score 3,119 Jan 30, 2023 #3 Ngoja tukutafutie jamaa mmoja anaitwa kinasa Msukuma atakufaa sana
B Babugaya Member Joined May 22, 2020 Posts 90 Reaction score 166 Feb 1, 2023 #4 Equation x said: Yupo mmoja Dodoma, kila sehemu anafika, na anatoa kitu cha uhakika. Click to expand... Nipe mawasiliano yake nko Dom Sent using Jamii Forums mobile app
Equation x said: Yupo mmoja Dodoma, kila sehemu anafika, na anatoa kitu cha uhakika. Click to expand... Nipe mawasiliano yake nko Dom Sent using Jamii Forums mobile app
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 33,679 Reaction score 49,841 Feb 1, 2023 #5 Babugaya said: Nipe mawasiliano yake nko Dom Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... 0717822402, akutumie kazi alizofanya ujiridhishe
Babugaya said: Nipe mawasiliano yake nko Dom Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... 0717822402, akutumie kazi alizofanya ujiridhishe