Sethshalom
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 586
- 1,013
Ina changamoto gani, labda naweza kukusaidia!!Wakuu natafuta fundi wa kunisaidia kutengeneza machine yangu ya kufua ni manual. fundi aweze kufika maeneo ya Ukonga.
Ambaye anamfahamu fundi mzuri anitumie number zake inbox
0713619587Wakuu natafuta fundi wa kunisaidia kutengeneza machine yangu ya kufua ni manual. fundi aweze kufika maeneo ya Ukonga.
Ambaye anamfahamu fundi mzuri anitumie number zake inbox
Tatizo la Washing Machine lilitatuliwa?Ya kwangu ni delta manual
Habari mkuu. Naomba mawasiliano yake. Nipo Moshi.Ungekuwa Kanda ya kaskazini ningekusaidia kuna fundi mmoja ni kiboko waindi walitaka wakamwajiri jamaa akazingua