Natafuta fundi pikipiki

Natafuta fundi pikipiki

Twino...

Member
Joined
Jan 22, 2016
Posts
9
Reaction score
2
Nina duka langu la vipuri vya pikipiki Natafuta fundi mzoefu wa pikipiki mwenye wateja wake aje kufanya biashara kwenye eneo langu bure ila tu awe ananunua vipuri kwenye duka langu.. Nipo dar es salaam.
 
Wengi Wao Bado WAMELAZWA ICU Wakingojea Kukatwa Miguu Yao Kwa AJALI Hivyo Vuta Tu Subira Mkuu Wakimaliza Tiba WATAKUIBUKIA Kimtindo.
 
U
Nina duka langu la vipuri vya pikipiki Natafuta fundi mzoefu wa pikipiki mwenye wateja wake aje kufanya biashara kwenye eneo langu bure ila tu awe ananunua vipuri kwenye duka langu.. Nipo dar es salaam.
KO WAPI SASA
 
Vp uliwapata!!??
 
Back
Top Bottom