Nina duka langu la vipuri vya pikipiki Natafuta fundi mzoefu wa pikipiki mwenye wateja wake aje kufanya biashara kwenye eneo langu bure ila tu awe ananunua vipuri kwenye duka langu.. Nipo dar es salaam.
KO WAPI SASANina duka langu la vipuri vya pikipiki Natafuta fundi mzoefu wa pikipiki mwenye wateja wake aje kufanya biashara kwenye eneo langu bure ila tu awe ananunua vipuri kwenye duka langu.. Nipo dar es salaam.
Vp uliwapata!!??Nina duka langu la vipuri vya pikipiki Natafuta fundi mzoefu wa pikipiki mwenye wateja wake aje kufanya biashara kwenye eneo langu bure ila tu awe ananunua vipuri kwenye duka langu.. Nipo dar es salaam.