Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtafute fundi huyu anaitwa Juma. Simu 0655 440 059. Anakaa Kibamba.Ndugu zangu wa Jamii, natafuta fundi ujenzi mzuri na mwaminifu. Awe na experience ya kutosha kujenga kwa kufata ramani ya nyumba. Eneo ni kibaha karibu na halmashaur. Asanteni sana
Asante Mkuu ubarikiweMtafute fundi huyu anaitwa Juma. Simu 0655 440 059. Anakaa Kibamba.
Jaribu kutafakari nawe utaweza elewa nimemaanisha mzuri wa nini. Ukishindwa usijali nenda ukaombewe, mana yawezekana kuna nut moja ime loose kichwaniMzuri wa sura au roho?
Mkuu kwa kuwa umeanza ujenzi si siyo mbaya nikikupa namba yq plumber mzuri (fundi bomba )utaekuja kumtumia siku za usoni 0786037975 au 0712791374 anaitwa yahaya ziandike tu sehemu kaka kwa ajili ya badae hutojuta jamaa anajua mamboNdugu zangu wa Jamii,
Natafuta fundi ujenzi mzuri na mwaminifu. Awe na experience ya kutosha kujenga kwa kufata ramani ya nyumba. Eneo ni kibaha karibu na halmashaur.
Asanteni sana
Wewe ndo unatakiwa ukaombewa kama kichwa chako kina bolt na nut.Jaribu kutafakari nawe utaweza elewa nimemaanisha mzuri wa nini. Ukishindwa usijali nenda ukaombewe, mana yawezekana kuna nut moja ime loose kichwani
Nashukuru sana MkuuMkuu kwa kuwa umeanza ujenzi si siyo mbaya nikikupa namba yq plumber mzuri (fundi bomba )utaekuja kumtumia siku za usoni 0786037975 au 0712791374 anaitwa yahaya ziandike tu sehemu kaka kwa ajili ya badae hutojuta jamaa anajua mambo
Watafute UVIMO group.Ndugu zangu wa Jamii,
Natafuta fundi ujenzi mzuri na mwaminifu. Awe na experience ya kutosha kujenga kwa kufata ramani ya nyumba. Eneo ni kibaha karibu na halmashaur.
Asanteni sana