Natafuta fundi wa; 1997 Ford F350 7.3 V8

Natafuta fundi wa; 1997 Ford F350 7.3 V8

melchior

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
230
Reaction score
214
Habari wana Jukwaa,
Natafuta fundi mzuri wa gari tajwa hapo juu. Ni gari la kazi, Mwanzoni liliua mechanical fuel pump tukawa tunatumia ya umeme. Nikanunua mechanical pump nyingine lakini ikafa kwa sababu haikuwa ginuine. Ikabidi nitafute ya umeme ambayo inawasha gari lakini gari linakuwa na miss.

Fundi wangu ameligusa gusa sana mpaka kafika point anafungua hadi ma nozzle bila mafanikio, gari bado lina miss . Naomba kama kuna mtaalamu anaye jua vizuri systeam ya umeme na mafuta wa hii gari anipigie 0766925042

Vigezo na masharti kuzingatiwa as nitaku challenge maswali ya hapa na pale kutest knowledge ya hilo gari kwani nime google najua vitu vingi sana .

NIMEAMBATANISHA MLIO WA GARI KUONYESHA MISS
 
Attachments

Hahahahahahaha.

Mkuu upo wapi..gari ya mwaka 1997. Inakupasua kichwaa..

Kwahiyo hapo bado pump ya mechanical hujainunua?

Maana sijaona sehem kuwa umesema umenunua.pump nyingine..

Vipi mshawahi ipima na mashine?.

Kama upo dar nikutafute ..
 
Brother, tunatumia system diagnosis, siyo vitu vya kubahatisha, hatufungui fungui, kubahatisha bila kuwa na error code, na kama ni spea unaambiwa ukanunue genuine with part number. Tunaweza klukuchekia tukakwambia tatizo ukaenda kutengeneza unakotaka.
 
Nyie mko wapi?gharama ya kiufanya computer diagnosis ni kiasi gani?nina teriors inanisumbua niwaletee,nipo Dar.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa hivi natumia electrical pump ila nimeagiza mechanical PUMP OEM
 
Mashine ya kupima imekuja mara tatu bila mafanikio. Ila nadhani walio kuja kupima hawapo competent sana
 
Hebu picha ya hilo gari nikulekeze kwa mafundi wa Modifications
 
Mkuu gari hiyo ina nini cha zaidi maana 7.3L v8 c mchezo au ina umeme zaidi?
 
Ford zikishafika 100K miles ni spana mkononi, halafu hiyo V 8 ya 7 litters si itakuwa inakufilisi, unafanyia nn. Hizo ni za USA maana bei ya mafuta.ni cheap, kwa bongo ni umaskini wa kujitakia
 
Ford zikishafika 100K miles ni spana mkononi, halafu hiyo V 8 ya 7 litters si itakuwa inakufilisi, unafanyia nn. Hizo ni za USA maana bei ya mafuta.ni cheap, kwa bongo ni umaskini wa kujitakia
Haijafika 100K miles , tatizo ni mafundi ndio wanaizeesha kujaribu jaribu
 
Back
Top Bottom