Nakuja pm kukipatia namba zake Jamaa yupo vizuri mno hata Mimi amenitengenezeaHello wadau,
Nahitaji fundi wa mashimo ya choo kwa sehem zenye maji maji sana. Nadhani wanayaita biodegester.
Kama kuna fundi yupo Arusha naomba anipm. Itapendeza akintumia sample picha ya kazi alizowaho fanya (Ikiwa zaidi ya moja itapendeza).
Thanks
Wewe ni gaidi?..mbona jina lako linafanana na magaidi.....Fundi wa biodigester akiwepo anitafute na mimi, naitwa Abdul Ghafur 0625249605 nipigie tuongee zaidi.
Wewe jina lako linafanana na Mwizi Kunguru.Wewe ni gaidi?..mbona jina lako linafanana na magaidi.....
Mama mtu mzimaa unaandika mashudu..Wewe jina lako linafanana na Mwizi Kunguru.
Wewe ni mwizi, kunguru?
Wewe umeandika au umeharisha?Mama mtu mzimaa unaandika mashudu..
Kisa umepewa uhuru?Wewe umeandika au umeharisha?
Uhuru kwako ni kitu cha ajabu sana, mimi nilipewa Uhuru miaka zaidi ya 1400 nyuma. Wewe naona bado haupo huru mpaka leo.Kisa umepewa uhuru?
Unajua maana ya uhuru wewe..na unazijua aina za uhuru wewe?....au najibishana na mpumbavu alieferi hata kidato cha nne...Uhuru kwako ni kitu cha ajabu sana, mimi nilipewa Uhuru miaka zaidi ya 1400 nyuma. Wewe naona bado haupo huru mpaka leo.