Ac check ignition coil, badilisha ikiwezekana. Kwenye camera check na diagnostic toolAnatafutwa Fundi wa Forester ili asaidie katika kuondoa changamoto hizi mbili:-
i. Gari linawaka AC ikifika muda AC inakata ila baadaye inaanza tena. Nadhani hapa kuna error ambayo mwenye diagnostic Kit anaweza saidia
ii. Gari lina camera ila uki - reverse Dashboard hai respond.
Nitashukuru kwa msaada wenu wana nzengo
Shukran AljazeeraAc check ignition coil, badilisha ikiwezekana. Kwenye camera check na diagnostic tool
Mkuu wewe ni fundi mzuri sanaJambo la kwanza kabisa ni kuchecki nguvu ya alternator yako. Kama Alternator ni zima kabisa, basi som sehemu inayofuata hapa chini.
Check compressor; kama compressor yako ni nzima, basi kuna kajamaa kanaitwa expansion valve kanakopunguza pressure ya gesi. Haka kajamaa kakichoka basi gesi inaingia kwenye evaporator na pressure ya juu na hivyo kusababisha compressor ishindwe kuhimili; kanafanana hivi
View attachment 3321134
Kichuguu,Jambo la kwanza kabisa ni kuchecki nguvu ya alternator yako. Kama Alternator ni zima kabisa, basi soma sehemu inayofuata hapa chini.