Honda Majanga haya
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Kimeumana?Natafuta fundi wa kunitengenezea gari yangu aina ya honda pale itakapokuwacinaleta shida. Ni vizuri akipatikana hapa hapa dar es salaam. Gari ni honda stream. Naombeni msaada wenu.
Uza haraKa hiyo gar??Natafuta fundi wa kunitengenezea gari yangu aina ya honda pale itakapokuwacinaleta shida. Ni vizuri akipatikana hapa hapa dar es salaam. Gari ni honda stream. Naombeni msaada wenu.