Natafuta fundi wa kubadilisha/kuweka headliner ( inside roof) kwenye gari

Natafuta fundi wa kubadilisha/kuweka headliner ( inside roof) kwenye gari

wokitoki

Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
53
Reaction score
9
Habari wadau,
Nahitaji kubadili/ kuweka headliner ( inside roof) kwenye gari yangu Naomba kwa yoyote anaemfahamu fundi wa shuhuli hizi anisaidie plz. Thanks in advance.
 
Kuna kijana anaitwa awadh yuko mwenge.ni bingwa wa hizo kazi maana nimempa wateja wengi na wote wamekubali
 
Back
Top Bottom