Hiyo ni latop Model na brand gani. Je una uhakika betri ni nzima.mapaka hapo suspect ni kuwa betri imekufa. Kuna laptop nyingine kama za HP NX9600 zina betri aina mbili soma hapa uone HP Compaq nx9600 Notebook PC - HP Notebook PCs - HP Battery Check Frequently Asked Questions - c00821429 - HP Business Support Center
kama una laptop aina nyingine jaribu kwenda site ya manufacture uone kama wana utility ya kutest na kuchek afya ya betri
Msaada kwenye tuta wana JF.
Natafuta fundi mzuri wa laptop ambaye anaweza kunisaidia kurekebisha laptop yangu yenye tatizo la kutokutambua (recognize) betrii wakati ikiwa kwenye umeme. Bila umeme batrii haifanyi kazi.
Asante sana, napatikana hapa 0784 398893
Asante sana.
Ni hp compaq 2510p. Hawa wanayo utility ya kupima afya ya betri na baada ya kuipima ilisema betri inahitaji kubadilishwa. Nimenunua betri nyingine tayari lakini baada ya kuifunga laptop ikawa ina leta ujumbe kuwa batrii haiwi recognized, hata nikirudisha ya kwake ya mwanzo nayo kwa sasa haiwi recognized. Kuitumia mapak iwe kwenye umeme.
Naamini naweza kupata mtaalamu wa kunisaidia kutatua tatizo langu.