bakari khalidi Member Joined Jul 11, 2015 Posts 7 Reaction score 5 Jul 21, 2026 #1 Natafuta fundi wa nguo za kiume mwenye ujuzi wa msingi. Nitakufunza na kukuongezea ujuzi zaidi wa ushonaji wa kisasa. Ofisi ipo Dar es salaam, kinondoni. Kama upo tayari kujifunza na kufanya kazi, nitafute kwa namba +255719377649.
Natafuta fundi wa nguo za kiume mwenye ujuzi wa msingi. Nitakufunza na kukuongezea ujuzi zaidi wa ushonaji wa kisasa. Ofisi ipo Dar es salaam, kinondoni. Kama upo tayari kujifunza na kufanya kazi, nitafute kwa namba +255719377649.