Habari wakuu.! Natafta mtu anayejua kutengeneza pressure washer ya magari. Tatizo la machine ni kile kichwa chenye pistoni kinachosukuma maji yatoke kwa presha Kali, kina changanya maji na oil, nimetafta seal ili nibadilishe lakini hazipatikani.
Kwenye ufundi huo au kama una mshikaji ana ujuzi huo anicheki, nipo mbezi beach. 0679478758