Natafuta Furnished 1 bedroom Kwa 450k Dar es Salaam

Natafuta Furnished 1 bedroom Kwa 450k Dar es Salaam

kadunga

Member
Joined
May 4, 2020
Posts
63
Reaction score
47
Natanguliza salam kwenu Wana jukwaa. Kama kichwa kinavyojieleza, nitakua na KAZI ya mwezi mzima hapa Dar es Salaam natafuta Furnished 1 bed room. Natafuta budget yangu ni 450k.

Kama kuna MTU anaweza nisaidia nitashkuru sana
 
Natanguliza salam kwenu Wana jukwaa
Kama kichwa kinavyojieleza nitakua na KAZI ya mwezi mzima hapa Daresalaam natafta Furnished 1 bed room. natafta budget yangu ni 450k

Kama kuna MTU anaweza nisaidia nitahskuru sana
Maeneo gan unatak
 
Back
Top Bottom