Mungu niguse
JF-Expert Member
- Dec 19, 2024
- 272
- 729
Habari,
Leo nipo hapa kuomba fursa ya ajira, Kazi au part time job.
Kuhusu Mimi
Mimi ni ME
Umri 26
Elimu form six
Napatikana DSM
Sifa zangu
Mchapa Kazi
Mwaminifu
Mtu wa kujituma kazini
Aina ya Kazi ambazo nipo na uzoefu nazo.
-Mimi nina uzoefu wa kuuza na kununua mazao Kama middle broker, najua kuhusu mazao Kama ufuta, mbaazi, korosho n.k
Kusimamia miradi ya kilimo Kama mashamba, kuanzia yanalimwa, kupandwa mazao hadi kuvuna.
- Kuhusu kufanya Kazi za usafirshaji Kama katika mabuss , maroli n.k Kama transporter kuhakikisha tenda zinapatikana na usimamizi wa hivyo vyombo.
- Kazi katika Kampuni mfano kuwa MTU wa masoko, n.k
Pia ninaweza kufanya Kazi yoyote hata isipoendana na hizo Ila nikatoa matokeo tu mazuri maana ninafundishika.
Natanguliza shukurani ikiwa upo na fursa mojawapo naomba unijuze Kwa namba ya simu nilioweka hapo chini.
0788372343
Asanteni Sana na Mbarikiwe 🙏🏽