Natafuta fursa ya ajira, kazi au part time job

Natafuta fursa ya ajira, kazi au part time job

khmbrzy

Member
Joined
Sep 8, 2021
Posts
8
Reaction score
5
Habari zenu wana Jamii Forums

Mimi ni kijana miaka 23 niliehitimu Diploma ya Insurance and Risk Management IFM mwaka jana, Natafuta fursa ya ajira, kazi au part time job.

Tafadhati naomba kama kuna nafasi yoyote ya ajira hata kama ni tofauti na career yangu, naomba nisaidiwe.
Mkoa wowote ndani ya Tanzania.

Mawasiliano 0758639477
 
Back
Top Bottom