M Mchugaree New Member Joined Apr 8, 2023 Posts 4 Reaction score 3 Oct 27, 2023 #1 Maisha ya Zanzibar yapoje katika sector ya utalii, mim ni guide najua lugha kama English Kijerumani na Spanish, nianzie wapi kwaajili yakupata fursa Zanzibar?
Maisha ya Zanzibar yapoje katika sector ya utalii, mim ni guide najua lugha kama English Kijerumani na Spanish, nianzie wapi kwaajili yakupata fursa Zanzibar?
blackhandsome7 Member Joined Jul 13, 2018 Posts 58 Reaction score 67 Nov 6, 2023 #2 ase Zanzibar hela ipo kama unajua izo lugha SEMA mwanzo magumu inabd ujisajili Kwanza kuwa guider upate kitambulisho
ase Zanzibar hela ipo kama unajua izo lugha SEMA mwanzo magumu inabd ujisajili Kwanza kuwa guider upate kitambulisho
M Mchugaree New Member Joined Apr 8, 2023 Posts 4 Reaction score 3 Nov 6, 2023 Thread starter #3 blackhandsome7 said: ase Zanzibar hela ipo kama unajua izo lugha SEMA mwanzo magumu inabd ujisajili Kwanza kuwa guider upate kitambulisho Click to expand... Utaratibu wakujisajili upoje kwa mtu wa bara na gharama zake kwa ujumla Ni zipi
blackhandsome7 said: ase Zanzibar hela ipo kama unajua izo lugha SEMA mwanzo magumu inabd ujisajili Kwanza kuwa guider upate kitambulisho Click to expand... Utaratibu wakujisajili upoje kwa mtu wa bara na gharama zake kwa ujumla Ni zipi
blackhandsome7 Member Joined Jul 13, 2018 Posts 58 Reaction score 67 Nov 12, 2023 #4 Mchugaree said: Utaratibu wakujisajili upoje kwa mtu wa bara na gharama zake kwa ujumla Ni zipi Click to expand... Kuna kozi inabidi usome ya guide kuhusu Zanzibar na kupata kitambulisho Ni USD 100 na utakuwa unalipia kila mwaka ku renew
Mchugaree said: Utaratibu wakujisajili upoje kwa mtu wa bara na gharama zake kwa ujumla Ni zipi Click to expand... Kuna kozi inabidi usome ya guide kuhusu Zanzibar na kupata kitambulisho Ni USD 100 na utakuwa unalipia kila mwaka ku renew
Kambaku JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 8,332 Reaction score 31,306 Nov 12, 2023 #5 Kwann umechagua zenji mkuu?
M Mchugaree New Member Joined Apr 8, 2023 Posts 4 Reaction score 3 Nov 12, 2023 Thread starter #6 Kambaku said: Kwann umechagua zenji mkuu? Click to expand... Kwa sababu na mazingira niliyokuwepo naona panafikika kirahisi (nipo Tanga) na nahisi kutakua na watalii wengi huko sabab ya beach zake
Kambaku said: Kwann umechagua zenji mkuu? Click to expand... Kwa sababu na mazingira niliyokuwepo naona panafikika kirahisi (nipo Tanga) na nahisi kutakua na watalii wengi huko sabab ya beach zake