mcheki HAMY-D anayoguys i'm in need of those galaxies...
1* nataka s2 yenye internal memory gb32
1*na yenye gb16
--------
ncheki pm tuongee biashara..
NB:mzigo uwe original n in mint condition...isiwe
imeandikwa tu ''made by samsung'' ispecify nchi
iliyotengenezwa...
Ahsanteni
mcheki HAMY-D anayo
Jamaa hataki kusoma posts za wenzake kwanza. Anajaza server tu. Haya cheki hapa: https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/566397-nauza-galaxy-s2-bei-380-ni-mpya.html
ahsante kwa info na MAJUNGU JUU mkuu Secret Service ..kama umeangalia vizuri, nlishaijibu hiyo post tayari ..kukawa na negative response tena kuna mdau (hammy d) alishadoubt uoriginal wake.... Hata hivyo 380 PRICE TAG NI PAKUBWA MNO kwa gb16 (300-350)...
NB:kumbuka kuna PM kiongozi..kuna wadau tunayajenga kule...be blessed