K kilukunyenge Member Joined Dec 21, 2016 Posts 20 Reaction score 16 Dec 30, 2016 #1 habari wanajamii mi ni kijana wa kiume natafuta garage ya kutengeneza magari ili nijifunze nataka garage ambayo inatengeneza magari ya aina zote yaani ya diesel na petrol garage iwe arusha anaejua anisaidie tafadhali
habari wanajamii mi ni kijana wa kiume natafuta garage ya kutengeneza magari ili nijifunze nataka garage ambayo inatengeneza magari ya aina zote yaani ya diesel na petrol garage iwe arusha anaejua anisaidie tafadhali
saimon111 JF-Expert Member Joined Apr 5, 2012 Posts 1,736 Reaction score 1,355 Dec 30, 2016 #2 Nenda temesa yoyote ukamuombe manager huwa wanakubali lakini utaanza kama nyoka....kujituma kwako na uelewa wako ndio kutakufikisha mbali
Nenda temesa yoyote ukamuombe manager huwa wanakubali lakini utaanza kama nyoka....kujituma kwako na uelewa wako ndio kutakufikisha mbali