Natafuta gari bei isizidi 6.5m

SUYA

Senior Member
Joined
Jun 24, 2009
Posts
131
Reaction score
21
Ya kuanzia mwaka 2001 isiwe na tatizo lolote.ambayo haijawahi kupata ajali ya aina yoyote
 
Tuwasiliane kwa namba hii ;

TEL: 255 22 277 1316
 
Wandugu ninataka kununua gari aina ya MITSUBISHI GDI, tafadhalini mwenye taarifa zozote mbaya/nzuri kuhusu aina hii ya gari anijuze. Gari ni nzuri kwa muonekano ila sioni watu wengi wakiwa aina hii kama ilivyo ESCUDO. NInatanguliza shukurani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…