Natafuta gari hizi iwe kwenye hali nzuri na bajet isizidi milioni 8

Alkam Alkam

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2018
Posts
603
Reaction score
512
Natafuta gari hizi iwe kwenye hali nzuri na bajet isizidi milioni 8

1/Allion Nzuri Bajet ichezee kwenye hapo

2/Spacio bajeti ichezee chini ya 8

3/ Harrie model ya zamani bajet isizid 9

0759117175 nitumie picha humo mnunuzi ni mie.
 
Nimesoma kwa makini nikagundua Alert ya Heading inasema Car4Sale wakati ndani unataka gari ya kununua na sio Unauza.
 
Nimesoma kwa makini nikagundua Alert ya Heading inasema Car4Sale wakati ndani unataka gari ya kununua na sio Unauza.

Kwa hiyo muandishi hajaweka umakini halaf anataka wasomaji wasome kwa makini.

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…