Natafuta gari kwa ajili ya biashara ya Uber

Natafuta gari kwa ajili ya biashara ya Uber

Sam pq

New Member
Joined
Feb 14, 2021
Posts
2
Reaction score
0
Habari zenu ndugu zangu,

Mimi ni kijana mchapakazi, natafuta kazi udereva yani Uber na Bolt. Nina account yangu ipo active pia nina leseni ya udereva ninahitaji gari ili tufanye biashara na mmiliki wa gari kwa uaminifu na ushirikiano gari ilo liwe la mkataba au hesabu mimi niko teyari namb yangu ni 0679427978
 
ist, ina AC na ni 1290CC, utaleta sh.ngapi kwa siku
 
Back
Top Bottom