Natafuta gari la kufanyia taksi mtandao - Bolt & Uber. Nina uzoefu wa miaka mitano

Rashidmayunga

Member
Joined
Nov 9, 2024
Posts
5
Reaction score
4
Natafuta gari ya kufanyia taksi mtandao - maarufu Bolt au Uber. Uzoefu ni miaka mitano hapa Dar es Salaam.

Kwa mwenye gari anipigie kwa namba 0759280756.

Gari ni IST, Sienta, Passo, Ractis, Raum au Vitz
 
Hivi hii ishu benki hawatoagi kweli ,hebu jaribu kuongea na ma benki na Nina Imani biashara ambayo mabenki hawafanyi basi Haina mashiko.
Mana Wana uwezo wa kukaa na kadi,jina likawa la kwao mpaka ukamaliza hela ukabadilisha umiliki ukaja kwako
 
Mahesabu yako ni sh ngapi kwa wiki? uaminifu? usalama wa chombo?
Gari ya mafuta esabu 150,000 kwa week. Gari gesi hesabu 200,000 kwa week. Uaminifu ndio mtaji wangu nitatoa details ninapo ish na id yangu ya nida pamoja na details za mzamin wangu. Kwa meng zaid nipigie kwa namba zangu.

Voda 0759280756
Tigo 0659280756
Airtel 0689280756
 
vp ulishapata gari?
 
Mkuu kama hujapata gari nakuombea kwa Mungu akujaalie upate tena iwe yako kabisa. Umekua real sana hapa mahali ambapo wengi hatujulikani.

May God Receive My Prayer... Amein!!
 
Namshukulu sana kaka kwa maombi yako. Na habar njema nikuwa nipo kazin hiv sasa nimepata gari leo nina siku ya tatu bara baran
 
Back
Top Bottom