Rashidmayunga
Member
- Nov 9, 2024
- 5
- 4
Gari ya mafuta esabu 150,000 kwa week. Gari gesi hesabu 200,000 kwa week. Uaminifu ndio mtaji wangu nitatoa details ninapo ish na id yangu ya nida pamoja na details za mzamin wangu. Kwa meng zaid nipigie kwa namba zangu.Mahesabu yako ni sh ngapi kwa wiki? uaminifu? usalama wa chombo?
vp ulishapata gari?Gari ya mafuta esabu 150,000 kwa week. Gari gesi hesabu 200,000 kwa week. Uaminifu ndio mtaji wangu nitatoa details ninapo ish na id yangu ya nida pamoja na details za mzamin wangu. Kwa meng zaid nipigie kwa namba zangu.
Voda 0759280756
Tigo 0659280756
Airtel 0689280756
Mkuu kama hujapata gari nakuombea kwa Mungu akujaalie upate tena iwe yako kabisa. Umekua real sana hapa mahali ambapo wengi hatujulikani.Gari ya mafuta esabu 150,000 kwa week. Gari gesi hesabu 200,000 kwa week. Uaminifu ndio mtaji wangu nitatoa details ninapo ish na id yangu ya nida pamoja na details za mzamin wangu. Kwa meng zaid nipigie kwa namba zangu.
Voda 0759280756
Tigo 0659280756
Airtel 0689280756
Namshukulu sana kaka kwa maombi yako. Na habar njema nikuwa nipo kazin hiv sasa nimepata gari leo nina siku ya tatu bara baranMkuu kama hujapata gari nakuombea kwa Mungu akujaalie upate tena iwe yako kabisa. Umekua real sana hapa mahali ambapo wengi hatujulikani.
May God Receive My Prayer... Amein!!
Mungu ni mwema!!Namshukulu sana kaka kwa maombi yako. Na habar njema nikuwa nipo kazin hiv sasa nimepata gari leo nina siku ya tatu bara baran
Kama ujapata nitafute no 0713470377Natafuta gari ya kufanyia taksi mtandao - maarufu Bolt au Uber. Uzoefu ni miaka mitano hapa Dar es Salaam.
Kwa mwenye gari anipigie kwa namba 0759280756.
Gari ni IST, Sienta, Passo, Ractis, Raum au Vitz