Natafuta gari la kukodisha

Makarios_charitoo

New Member
Joined
Aug 19, 2024
Posts
3
Reaction score
2
Habari za leo wakuu,

Natafuta gari dogo, binafsi, isiwe zaidi ya cc1400, kukodisha kwa mizunguko ya Dar es salaam weekend hii.

Dereva ni mimi mwenyewe. mwenye nayo nicheck whatsapp 0688180839.
 
+255 655 110 308 mkuu mcheki huyo anazo gari za kukodisha
 
Habari za leo wakuu,

Natafuta gari dogo, binafsi, isiwe zaidi ya cc1400, kukodisha kwa mizunguko ya Dar es salaam weekend hii.

Dereva ni mimi mwenyewe. mwenye nayo nicheck whatsapp 0688180839.
Gari la kukodisha au gari la kukodi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…