sema offa yako uwape watu urahisikichwa cha somo hapo juu chahusika.. kwa aina nyingine iwe ni toyota tu isipokuwa hizi aina ya mark II sijui na nyinginezo zinazotumika sana kama za tax (hizo hapana). bei taja bei, mwaka na umbali iliyotembea. bila kusahau rangi na transmission type yake (automatic tu)
kichwa cha somo hapo juu chahusika.. kwa aina nyingine iwe ni toyota tu isipokuwa hizi aina ya mark II sijui na nyinginezo zinazotumika sana kama za tax (hizo hapana). bei taja bei, mwaka na umbali iliyotembea. bila kusahau rangi na transmission type yake (automatic tu)
Nenda showroom ukaulize huko mwenyewe.
Tuna mambo mengi yamsingi ambayo tuko tunayatafutia suruhu. Uhafidhina ndani ya CDM, gharama za umeme kupanda kwa 68%, watanzania masikini kuendelea kuishi kwa ahadi hewa za CCM za maisha bora kwa kila mtanzania na mengine kama hayo.
Vichwa viko busy kuendelea kutafuta suruhu!!!
kichwa cha somo hapo juu chahusika.. kwa aina nyingine iwe ni toyota tu isipokuwa hizi aina ya mark II sijui na nyinginezo zinazotumika sana kama za tax (hizo hapana). bei taja bei, mwaka na umbali iliyotembea. bila kusahau rangi na transmission type yake (automatic tu)
kichwa cha somo hapo juu
chahusika.. kwa aina nyingine iwe ni toyota tu isipokuwa hizi aina ya
mark II sijui na nyinginezo zinazotumika sana kama za tax (hizo hapana).
bei taja bei, mwaka na umbali iliyotembea. bila kusahau rangi na
transmission type yake (automatic tu)
nina spacio new model, namba inaanza na B, rangi nyekundu, ina ac na kila kitu. Bie 8.5M...Mawasiliano 0769 101337 uje uone mwenyewe km upo serious. Nipo Dar
Acha dharau wewe ngeke hizo gari zinazotumika kama tax unanua hayo magari unayotaka mawili,unaweza ukanunua mark x yard wewe? Unaweza ukanunua grande mark ii? Sema hela hauna usiseme ni tax!
model unazopenda wewe unafikiri kila mtu anapenda siyo? au akili yako inavyokutuma ndivyo akili za wote zinawatuma? Au wewe unaendeshwa na hisia tu nn.., we zuba siyo?! Au kwani ninavyotaka mimi ni lazima na wewe utake? Au kwa hiyo nisipotaka vile unataka wewe ni dharau siyo? Acha infiriority complex za kijinga ww kuwa vile unaamini na unavyotka kuwa...
Hapa hakuna mnunuzi mnajisumbua bure tu!
Kabisa hapa hakuna na kama akinunua huyu naomba aweke picha na jina la member aliyenunua kwake(No multiple ID allowed Invisible atahakiki)!