Mie ni dalali ila hizo model unazotaka sina haziuziki maana wengi wanaoendesha hizo model ni mademu na kama unavyojua mashosti kuuza magari yao ni ngumu coz hela ya wese kwake sio tatizo maana kuna stakeholders wanaomuwekea mafuta,halafu sijakwambia kama mie napenda hizo model nimechangia coz ya dharau uliyoonyesha,kwahyo unataka kuniambia hautonunua Limousine kwasababu yanatumika sana kwenye harusi? Think big wengine hizo hizo tax ndio magari ya dream zao! Kwangu mimi vigari unavyovitaka hata bure nipewe sichukui,opa? Fielder? Ha Ha Ha Ha Ha Ha Baadae sana! Mie nshatoka kwenye Toyota!!

Nadia ipo silver color imetoka bandarin jumatano iliyopita nipm
bei gani hiyo nadia nimnunulie shem ako?
Una gari husika? au ndo nyie wa kupita mkibwatabwata...!!!
Corona-premio inapatikana kwa 6.5m. Kama uko sawa nicheki 071942372.
Hata unavyoandika tu inaonyesha jinsi ulivyo mjaza server tu kwenye huu uzi na wala siyo mnunuaji! Uwe na hela ya kununua gari usijue hata mwenye hilo gari ni nani? Thubutu yako!!!
Kwa hiyo kwako wewe mtu kuwa na pesa ya kununua gari haiwezekani?!!, kwan wenye magari waliyapataje? Thats negative mindset - kuona kuwa mambo hayawezekan..."NA USIPOBADILIKA MTAZAMO WAKO UTAKUFA MASKINI" kwani hata pikipiki hutamudu kununua kama unaona mtu kuwa na pesa ya kununua gari ni ajabu kwako
Laiti ungejua mimi ni nani na kwamba vitu unavyovitaja hapo mimi nimeanza kuvimiliki zaidi ya miaka 15 iliyopita usinge-post huu ujinga wako. BTW: You completely missed my point, so jipange upya!
Nenda showroom ukaulize huko mwenyewe.
Tuna mambo mengi yamsingi ambayo tuko tunayatafutia suruhu. Uhafidhina ndani ya CDM, gharama za umeme kupanda kwa 68%, watanzania masikini kuendelea kuishi kwa ahadi hewa za CCM za maisha bora kwa kila mtanzania na mengine kama hayo.
Vichwa viko busy kuendelea kutafuta suruhu!!!
Kwahiyo wewe mwisho wako wa kufikiria ni kwa Obama? My point is, you completely missed the point I meant, period! Ulipotoka kwenye mada nikaamua kukufuata huko huko, sasa naona na kwenyewe unatapatapa tu hujui unachokisema. Ngoja nikuache manake kamwe akili ndogo haiwezi kuiongoza akili kubwa!Nikujue we nan what for? Kwan we unanijua mi nan? Obama mwenyewe mtu tu kama wengine, kwa hiyo we ni nan hasa..? na ungekuwa na busara huwezi kumjibu mtu kiujinga, we huoni wenye busara zao wanavyorespond kwe thread za humu? lakini na wapumbavu pia wamo kwa hiyo sikushangai