Natafuta gari la kutembelea budget yangu ni TSH 5M

Kila la kheri katika harakati za kuanza kutafuta magonjwa ya moyo na hasira zisizoisha.
 
Yapo mengi sana kibanda-maiti. Usisahau kuipeleka service Mchamba-wima kabla hujaanza kuvimba maeneo ya Kizimkazi.
 
Nimesoma comments za wadau, kumbe nijipe moyo kuna siku huenda nitatembea nimekaa
Mkuu kwa hiyo bajeti mbona yanapatikana mengit tu, ila muhimu ni kuwa makini maana njiani kuna mambo mengi. Wengi wakishapata baadae wanajikuta wanatembezwa wakiwa wamelala, nadhani tumeelewana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…