Car4Sale Natafuta gari LandCruiser macho panzi

Car4Sale Natafuta gari LandCruiser macho panzi

wordaholic

New Member
Joined
Aug 27, 2013
Posts
2
Reaction score
0
Natafuta gari aina ya Land Cruiser macho panzi.

Iwe kwenye hali nzuri.

Kwa maongezi zaidi napatikana kwenye namba hizi:
+255 624 593 778

+255 719 718 017
 
Ndo ipi.
Acha lugha za mtaani.
Andika model na mwaka.
Ikikushinda copi picha mahali sema kama hii
 
Naomba nkulize swali mnunuzi ni we!au una mtu ...kuna mtu Namjua anayo gari hiyo ila nataka wee uwe umenyokaaa n'a unachokihitaji ukiwa serious ntafute via 0715591141 Nkupe link ya mwenye gari

Ova
Natafuta gari aina ya Land Cruiser macho panzi.

Iwe kwenye hali nzuri.

Kwa maongezi zaidi napatikana kwenye namba hizi:
+255 624 593 778

+255 719 718 017
 
Back
Top Bottom