B Bush Dokta JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 42,525 Reaction score 74,605 Apr 3, 2026 #41 CoderM said: Mko Mkopo wa benk za kiislamu haujatimiza masharti ya mkopo wa kiislamu. Kwa sababu mkopeshaji sio mwenye kumiliki mali anayoikopesha. Kwahiyo zile ni riba zilizojificha kwenye kichaka cha faida. Click to expand... Islamic banking haina tofauti na hizi za makafiri Tu. Wao watakwambia tutakupatia Mali bila riba wewe utarejesha kiasi hicho hicho, lakini kwenye kukupa hizo mali wameshajumlisha 15% yap, so ni lugha tu
CoderM said: Mko Mkopo wa benk za kiislamu haujatimiza masharti ya mkopo wa kiislamu. Kwa sababu mkopeshaji sio mwenye kumiliki mali anayoikopesha. Kwahiyo zile ni riba zilizojificha kwenye kichaka cha faida. Click to expand... Islamic banking haina tofauti na hizi za makafiri Tu. Wao watakwambia tutakupatia Mali bila riba wewe utarejesha kiasi hicho hicho, lakini kwenye kukupa hizo mali wameshajumlisha 15% yap, so ni lugha tu
M Mledi haswa Senior Member Joined Jan 17, 2013 Posts 163 Reaction score 179 Oct 7, 2026 #42 Bush Dokta said: Islamic banking haina tofauti na hizi za makafiri Tu. Wao watakwambia tutakupatia Mali bila riba wewe utarejesha kiasi hicho hicho, lakini kwenye kukupa hizo mali wameshajumlisha 15% yap, so ni lugha tu Click to expand... Mimi nilikutana na 28% ya bank moja ya kiislam, sina hamu nao hao
Bush Dokta said: Islamic banking haina tofauti na hizi za makafiri Tu. Wao watakwambia tutakupatia Mali bila riba wewe utarejesha kiasi hicho hicho, lakini kwenye kukupa hizo mali wameshajumlisha 15% yap, so ni lugha tu Click to expand... Mimi nilikutana na 28% ya bank moja ya kiislam, sina hamu nao hao