Natafuta gari ndogo Dar budget 4mil

Natafuta gari ndogo Dar budget 4mil

simon baker

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2017
Posts
522
Reaction score
698
Tafathali rejea hapo juu,

Binafsi natafuta gari ya mishe za hapa mjini.

  • budget 4mil
  • Namba kuanzia B..japo hata Kama una A unaamin Ina thaman tupia haina shida maana mi fundi ntaikagua mwenyew
  • Vits RS /ist/gx110 ndo huwa mpenz
Dondosha picha na namba nichambue
 
Mkuu,unatafuta ndinga ili uweze kuwala kiulaini mademu zetu.
Kila la heri fundi mkuu.
Gari ya iyo bei haiezi itwa ndinga mkuu..ist, vits,gx100,carina....na vingine vinavyoendana na ivyo....unatumia usafiri una cc1300 unaita ndinga🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hata ukishuka funguo yake usining'inize bora uweke mfukoni tu kama leso
 
Tafathali rejea hapo juu,

Binafsi natafuta gari ya mishe za hapa mjini.

  • budget 4mil
  • Namba kuanzia B..japo hata Kama una A unaamin Ina thaman tupia haina shida maana mi fundi ntaikagua mwenyew
  • Vits RS /ist/gx110 ndo huwa mpenz
Dondosha picha na namba nichambue
Utapata mkuu,,mimi nilinunua Toyota Cami kwa 4.5 mil only lkn mpaka leo iko barabarani ni mimi na wese tu,tabora to Arusha kama kawa bila ttz lolote...sasa hivi napewa offer mpaka milioni 10 siuzi[emoji23][emoji23]
 
Tunshauri anunue piki piki boxer mpya, nayo ni chombo cha moto kitamfikisha mtoto Hospital mbeleko ikikaza.
Kwani hapigi yale mambo yetu? Maana boxer ukiziendea pupa zinakuwaisha mawinguni!!!
 
ingia KUPATANA utapata hata suzuki escudo nzima kabisa, swift, passo n.k nk.
 
Tafathali rejea hapo juu,

Binafsi natafuta gari ya mishe za hapa mjini.

  • budget 4mil
  • Namba kuanzia B..japo hata Kama una A unaamin Ina thaman tupia haina shida maana mi fundi ntaikagua mwenyew
  • Vits RS /ist/gx110 ndo huwa mpenz
Dondosha picha na namba nichambue
Hapo unapata bajaj zile kali used...ongeza mil2 upate bajaj mpya
 
Back
Top Bottom