jumbenylon
Senior Member
- Jun 12, 2011
- 115
- 10
hujasema aina ya gari mkuu au gari lolote mkuuHabari zenu wadau, naomba kupata msaada wenu. Nahitaji gari ndogo ya kutembelea, Budget yangu ni milioni 3.5. Iwe in good condition haijalishi registration namba gani! Kama unalo tafadhali weka picha zake na maelezo kidogo! Na mawasiliano! Au nitumie kwenye whatsapp kupitia u0714021078 au email: jumbenylon@gmail.com. ASANTENI
Ukishanunua hilo gari anzisha sredi ya kutafuta namba za mafundi wa magari ili uzisave kabisa.
hujasema aina ya gari mkuu au gari lolote mkuu
Habari zenu wadau, naomba kupata msaada wenu. Nahitaji gari ndogo ya kutembelea, Budget yangu ni milioni 3.5. Iwe in good condition haijalishi registration namba gani! Kama unalo tafadhali weka picha zake na maelezo kidogo! Na mawasiliano! Au nitumie kwenye whatsapp kupitia 0714021078 au email: jumbenylon@gmail.com. ASANTENI
Cc OLESAIDIMU na Elli
Wasikutishe pita mule wanapolaza magari au nenda kaongee Na wakubwa WA action mart utapata
Atapata iliyokuwa taxi!!!!