wadau
nisaidieni ushauri nataka kununua kagari kadogo kwa ajili ya mishemishe za hapa mjini nishaurini kweye haya magari ni lipi durable na economical na upatikanaji wa spea kwa bei nzuri
1.NISSANI MARCH
2.VITZ
3.SUZUKI SWIFT
4.TOYOTA STARLET
asanteni naombeni mawazo yenu wana JF hasa toka kwa wataalam wa magari au wanaotumia magari hayo.
Namba nne itakufaa zaidi
achana nazo zote hizo. nunua Honda Fit. Fanya search kwenye mtandao (goggle - compare Honda Fit, Toyota Vitz, Suzuki Swift. au andika users' review kisha andika hizo gari. ) utajua nani zaidi kwa kila kitu....usifate mkumbo wa kujaa kwa Toyota mitaani