Natafuta gari ndogo ya kukodi kwa ajili ya mizunguko Dar

Mahash

Member
Joined
Jul 8, 2023
Posts
87
Reaction score
102
Natafuta gari ndogo ya kukodi kw ajili ya mizunguko ya hapa na pale mim sio mkaaj WA Tanzania nakuja tu likzo ya muda mchache.

Kama kuna mtu anakodisha gari yake kwa siku 30 had 40 aje inbox.

Please Gari nahitaji kuanzia ijumaa hii au Jumamosi.
 
Sio kwamba asaiv deals za kusafirisha wa Ethiopia mmehamia huku kwenye vigari vidogo 😅 😅 mnaanza play kwa low key (joke)
 
Security utanimbia unatak nin passport yang au kitambukisho au lesen utakacho niambie tafuat kuhus security, vitambulisho vyote navyo
Seriously? Yan security ya gari iwe leseni, kitambulisho 🤣🤣🤣
 
Ingia mtandaoni, zipo kampuni rasmi zinazofanya hizo biashara, utachagua gari unayotaka kati ya walizonazo na watakwambia vigezo vya kukodi gari na gharama zake.

Sifahamu haswa ni ipi ila ziko za Travel and tour, kuna Car Rentals n.k. wengi ni wahindi na waarabu.

Wako watu mmoja mmoja wanaokodisha magari yao hawa hadi uwe na refer yaani mtu amekukonekt.

Kila la kheri.
 
Shukran Sana kaka
 
Chonde chonde mkuu...🤣
Ebu futa hii comment...😜
 
Kuna kampuni nyingi tu za rentals hapa DSM. Tumia instagram usearch utapata
 
Back
Top Bottom