mkuu, kaushauri kadogo, zingatia magari ya toyota zaidi, la sivyo usiseme hatujakuonyarejeeni kichwa cha habari.natafta gari ndogo, swift, duet, vitz, strlet n.kza type hiyo.sema fasta kama ipo.
mimi nataka vitz, nina mil 3.5
offcourseHivi gari inavyozidi kuwa ndogo na bei yake inapungua? Just curious tu...........
Unataka kununua au kuhongwa? Mi ninayo yakuhonga.
rejeeni kichwa cha habari.
natafta gari ndogo, swift, duet, vitz, strlet n.kza type hiyo.
sema fasta kama ipo.
Nini tena switi hati!jamani jamani.....
rejeeni kichwa cha habari.
natafta gari ndogo, swift, duet, vitz, strlet n.kza type hiyo.
sema fasta kama ipo.
Mkuu, niuzie naitaka nipe bei rangi ngapi?Ninayo mercedes benz,6 doors,ukifika dau lake ni PM.
Eeh! Wewe; hebu staghfiru kwanza.Si utafute magongo au bakora ya kutembelea? gari ni ya kuendesha.
Mkuu,
Nakushauri usiwe na hulka ya kununua gari kwa Wabongo. Utalizwa. hata hivyo kama imekulazimu kufanya hivyo na kwa vile unahitaji gari dogo ni vizuri upate Duet and Vitz au IST, hapa nina maana ya TOYOTA product.
Kuhusu bei, tafadhali usikubali kununua gari ya aina moja wapo hapo juu inayozidi 6m. Ikizidi 6m ni afadhali uagize mwenyewe Japan and will cost you estimate ya 7.8 hadi 8.2 ( But is time at your own choice and preference)
Kumbuka single user vehicle ni poa kuliko multiple users.
Take Care