Natafuta gari ndogo

Natafuta gari ndogo

MtuMimi21

New Member
Joined
May 1, 2021
Posts
1
Reaction score
0
Habarini wanaJf, natumai mu wazima wa afya.

MwanaJf mwenzenu ninatafuta gari ya kufanyia biashara ya kusafirisha abiria kwa njia ya mtandao, lengo ni kujikwamua kiuchumi kwa kipato cha halali kama kijana.

Leseni na account za uber, bolt na nyinginezo, ninazo, na napatikana Daresalaam, Changanyikeni. Hivyo, mwenye mawazo, maoni, ushauri, basi asisite kuwasiliana nami hapa hapa, au PM ama kwa namba 0689443181.

Asanteni.
 
Back
Top Bottom