Natafuta gari ndogo

Dodoma moja

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
307
Reaction score
182
Ndugu wadau wa jf natafuta gari ndogo ya kutembelea used kwa shs mil 3 cash, sina zaidi ya hapo mwenye kujua wapi naweza kupata naomba anisaidie wakuu
 
Ndugu wadau wa jf natafuta gari ndogo ya kutembelea used kwa shs mil 3 cash, sina zaidi ya hapo mwenye kujua wapi naweza kupata naomba anisaidie wakuu

Mkuu una marafiki ambao ni mafundi wazuri wa magari?
 
Kuna dealer mmoja anaitwa Tyta ngoja niwasiliane nae.kuwa mvumilivu utapata value for money just hold on.
 
Kuna dealer mmoja anaitwa Tyta ngoja niwasiliane nae.kuwa mvumilivu utapata value for money just hold on.

MKUU YARD YETU IMERUN OUT OF STOCK....NDIO TUNA PROCESS ORDER TOYOTA

MKUU YARD YETU IMERUN OUT OF STOCK....NDIO TUNA PROCESS ORDER TOYOTA

Tutaharibu soko mkuu hakuna hata ka bajaj aanze nako huyu mheshimiwa. Au hilo contena tulikate na kulifanyia modification.kuweka matairi etc
 
tutaharibu soko mkuu hakuna hata ka bajaj aanze nako huyu mheshimiwa. Au hilo contena tulikate na kulifanyia modification.kuweka matairi etc

we are automobile dealers mkuu...hatuuzi vitu vyenye miguu mitatu...
 
Wadau namm hapo amenikuna, namm nina milioni tatu nanusu,nawezapata vitz?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…