malimingiii
JF-Expert Member
- Nov 20, 2013
- 968
- 1,343
Natafuta kati ya gari mbili
Toyota Harrier iwe
engine type - 2AZ ~4WD
Model type - CBA ~ACU 35W
Mwaka - 2003 kuendelea
Au
Suzuku Escudo
Engine - J20A
Model type - LA~TL52W
Mwaka - 2001 kuendelea
Anayeuza kati ya hizo gar mbili tuwasiliane kwa namba 0717 600 290
*Badget yangu haizid 14M*
Kuna Harrier ya 2000, LEXUS specs 4W ina karibia 128000km, tatizo bei jamaa hashuki 16,000,000
Ukiihitaji nimjuze mshua ailete dar mwishoni mwa mwezi huu uione. kuona ni buree.
Anaitumia kwenda kazini na kurudi, ni mkoani hivyo bado ipo nzima
Mazungumzo labda yawe ya kupandisha bei, soma comment #4 (utani)Asante mkuu.. hiyo bei sitaiweza boss labda kama mazungumzo yangekuwepo
Ipo na sifa zote kasoro 2WD, namba DDV KM 114000, haina shida yoyote, bei 13,500,000Natafuta kati ya gari mbili
Toyota Harrier iwe
engine type - 2AZ ~4WD
Model type - CBA ~ACU 35W
Mwaka - 2003 kuendelea
Au
Suzuku Escudo
Engine - J20A
Model type - LA~TL52W
Mwaka - 2001 kuendelea
Anayeuza kati ya hizo gar mbili tuwasiliane kwa namba 0717 600 290
*Badget yangu haizid 14M*