Natafuta Gari used, nina milioni 4

Leta huo mkwanja nkuuzie hii noah[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Gari M4 kwasasa kweli unatafuta undugu na mafundi garage ila yapo mazuri pia chamuhimu kabla hujanunua lichunguze kwanza
 
Wacheki instagram hawa jamaa @magari_usedtz utapata gari kwa fedha yako hiyo..ila ni vizuri kulikagua kwanza
 
Gari M4 kwasasa kweli unatafuta undugu na mafundi garage ila yapo mazuri pia chamuhimu kabla hujanunua lichunguze kwanza
Tusikariri ubora wa gari kuwa ni lile la bei mbaya, la sivyo. Mbona mi nimenunua gari la 1996 hivi sasa September, kwa bei hiyo na linapiga mzigo vizuri tu, nakata safari za mikoani bila wasiwasi, wese tu ndio mtaji wa kuliendesha. Cha msingi akague na kujiridhisha na history ya gari na jinsi lilivyotumika kabla ya yeye kuuziwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…