Natafuta gari used ya kufanya taxi.. budget 3m...automatic transmission

Natafuta gari used ya kufanya taxi.. budget 3m...automatic transmission

Mkuu, kwa nini usitafute Bajaj? By the way, nenda pale Magomeni Mapipa, unaweza ukapata haja ya moyo wako...
Dah kweli mkuu angalau Bajaj inaweza kusukuma sukuma akaweza kujikimu.
Ila kwa upande wa Taxi ya kununua milioni 3 itamsumbua sana.
Itakuwa trip moja barabarani trip moja gereji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, nipigie tufanye bihashara
Screenshot_20190208-113451.jpeg


Mambo yamekua mengi na Mengi yamekua Mambo
 
Back
Top Bottom