Dah kweli mkuu angalau Bajaj inaweza kusukuma sukuma akaweza kujikimu.Mkuu, kwa nini usitafute Bajaj? By the way, nenda pale Magomeni Mapipa, unaweza ukapata haja ya moyo wako...
5+ m bajaji isiyosumbua!!!Mkuu, kwa nini usitafute Bajaj? By the way, nenda pale Magomeni Mapipa, unaweza ukapata haja ya moyo wako...
Ndugu Naomba kuuliza bei ya bajaji Moya hapo dar ni kiasi gani?Mkuu, kwa nini usitafute Bajaj? By the way, nenda pale Magomeni Mapipa, unaweza ukapata haja ya moyo wako...
Sifahamu.
Mpya ni m7 na laki mbili hivi
Hii ndinga mbona inauzwa sana...kila anayenunua anaiuza..kuna shida gani
Hiii ndinga nimenunua mwenyewe Beforward so naiuza mwenyewe, hakuna cha dalaliHii ndinga mbona inauzwa sana...kila anayenunua anaiuza..kuna shida gani
Hiyo gari Ina tatizo gani mkuu?Hiii ndinga nimenunua mwenyewe Beforward so naiuza mwenyewe, hakuna cha dalali
Mambo yamekua mengi na Mengi yamekua Mambo
Nipigie tufanye bihasharaHiyo gari Ina tatizo gani mkuu?
Sent from my Iphone using Tapatalk
Unaweza kulilleta Mwanza?Liko poa tuNipigie tufanye bihashara
Mambo yamekua mengi na Mengi yamekua Mambo
Ukituma hela ya mafuta Mkuu nalileta fastaUnaweza kulilleta Mwanza?
Sent from my Iphone using Tapatalk
I mean linafika, hela ya mafuta siyo tatizo ,Ukituma hela ya mafuta Mkuu nalileta fasta
Mambo yamekua mengi na Mengi yamekua Mambo
Ukituma hela ya mafuta Mkuu nalileta fasta
Mambo yamekua mengi na Mengi yamekua Mambo
Linafika vizuri tu.I mean linafika, hela ya mafuta siyo tatizo ,
Sent from my Iphone using Tapatalk
Nipigie simu mkuuMkuu nitajie hilo group ulilopost niangalie picha zake kwa karibu
Sent using Jamii Forums mobile app