Natafuta gari VITS new model

Stv Mkn

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
328
Reaction score
273
Natafuta gari VITS new model
Namba D
Cc 990
Full AC

Isiwe imepata ajali wala kuguswa engine.

Bajeti yangu mil 5

Nicheki PM sasa hivi nikufate ulipo.
 
Natafuta gari VITS new model
Namba D
Cc 990
Full AC

Isiwe imepata ajali wala kuguswa engine.

Bajeti yangu mil 5

Nicheki PM sasa hivi nikufate ulipo.
vitz yenye cc 990 ni chache
Vitz nyingi ni 4pistons cc 1290+
Na unataka number D then iwe new model
Kwa 5m
Hata kama mtu kafulia sidhan kama atauza kwa bei hiyo.
Otherwise iwe na matatizo
Kila la kheri.
Don't take it negatively.

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 

Kaka wewe ni dalali wa magari sijui nia yako nini kusema hakuna vits yenye cc 990.
 
Kama hujui kitu kaa kimya, weka akiba ya maneno yako
Kumbuka kila neno unalotamka utalitolea hesabu siku ya kiama.
 
Kuwa Dalali si shida Mzee!
Hiyo ni vitz yaris (sidhan kama tz zipo nyingi)
Na bongo zilizopo nyingi ni clavia, RS, new model ni hizi za kawaida (old model) ambazo ni cc 1290 na 1490.


Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Sawa mkuu... Wewe ulitaka kuniuzia ya aina ipi na bei gani?
 
Zipo vitz za cc990 labda kama hujawahi ziona au kusikia au ulikuwa hufahamu
 
Natafuta gari VITS new model
Namba D
Cc 990
Full AC

Isiwe imepata ajali wala kuguswa engine.

Bajeti yangu mil 5

Nicheki PM sasa hivi nikufate ulipo.
Hii hapa kwa milioni 5 na laki 7. namba C.

namba D inatembea kwa milioni 9+

nitafute 0713096076
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…