Natafuta gari ya kufanyia Bolt/ Uber iwe dar au dodoma

nigastm

Member
Joined
Sep 8, 2021
Posts
8
Reaction score
6
Mimi ni dereva wa tax mtandaoni nina leseni yenye daraja c nina acount zote bolt, uber, little ride na farasi. Nina uzoefu wa kazi hii, gari ikiwa ya mkataba au hesabu
Mawasliano +255767630088
 
Kama we ni mzoefu toa offer zako za wiki kwa gari mpya sieta ukiwa dar.
Habari!! Naitwa omary kassim naishi Dar,Buza. Ni dereva wa mtandaoni.Gari ya mafuta hesabu kwa wiki ni 150000 na gari ya gesi hesabu ni 200000.Nina uzoefu na hii kazi miaka 2 kama upo tayari tufanye kazi boss 0654037276.
 
Gari gani ni nzuri kwa hiyo kazi
 
Gesi inawekewa kwa kiasi gani na gari nzuri ni aina katika Toyo
Kufungiwa mfumo wa gas ni 1.3-1m.lakini pia unaweza kufungiwa mfumo wa gas kwa mkopo Tena bila kianzio. Ndio ni aina ktk Toyota mfano Ist nk.
 
Habari!! Naitwa omary kassim naishi Dar,Buza. Ni dereva wa mtandaoni.Gari ya mafuta hesabu kwa wiki ni 150000 na gari ya gesi hesabu ni 200000.Nina uzoefu na hii kazi miaka 2 kama upo tayari tufanye kazi boss 0654037276.
uzi hujaanzisha ww kwanini lakini mkuu anzisha wako kuwa na huruma .
 
Habari!! Naitwa omary kassim naishi Dar,Buza. Ni dereva wa mtandaoni.Gari ya mafuta hesabu kwa wiki ni 150000 na gari ya gesi hesabu ni 200000.Nina uzoefu na hii kazi miaka 2 kama upo tayari tufanye kazi boss 0654037276.
150K kwa wiki, inamaana kwa siku ni almost 21K?
 
Back
Top Bottom